Swali: Vipi ikiwa mtu atatawadha na akaosha mguu wa kulia na kuvaa soksi za ngozi, kisha akaosha mguu wa kushoto na kuvaa soksi za ngozi?
Jibu: Kuna makinzano kati ya wanazuoni juu ya jambo hili. Baadhi ya wanazuoni wanaruhusu kufanya hivi, wakisema kuwa amevaa soksi ya kulia baada ya twahara na vilevile ya kushoto baada ya twahara. Ingawa twahara ya kwanza [kabla ya kumalizia mguu wa kushoto] haikuwa kamili, bado ilikuwa katika maana ya twahara kamili. Hata hivyo inashauriwa zaidi kwa muumini kuondokana na makinzano haya. Ikiwa amemaliza kuosha mguu wa kushoto na tayari amevaa soksi ya kulia, inafaa avue soksi ya kulia kisha avae tena baada ya kumaliza twahara kamili. Kwa njia hii soksi zote zitakuwa zimevaliwa juu ya twahara kamili na hivyo kuepuka makinzano.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24740/حكم-لبس-خف-اليمنى-قبل-غسل-اليسرى
- Imechapishwa: 08/12/2024
Swali: Vipi ikiwa mtu atatawadha na akaosha mguu wa kulia na kuvaa soksi za ngozi, kisha akaosha mguu wa kushoto na kuvaa soksi za ngozi?
Jibu: Kuna makinzano kati ya wanazuoni juu ya jambo hili. Baadhi ya wanazuoni wanaruhusu kufanya hivi, wakisema kuwa amevaa soksi ya kulia baada ya twahara na vilevile ya kushoto baada ya twahara. Ingawa twahara ya kwanza [kabla ya kumalizia mguu wa kushoto] haikuwa kamili, bado ilikuwa katika maana ya twahara kamili. Hata hivyo inashauriwa zaidi kwa muumini kuondokana na makinzano haya. Ikiwa amemaliza kuosha mguu wa kushoto na tayari amevaa soksi ya kulia, inafaa avue soksi ya kulia kisha avae tena baada ya kumaliza twahara kamili. Kwa njia hii soksi zote zitakuwa zimevaliwa juu ya twahara kamili na hivyo kuepuka makinzano.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24740/حكم-لبس-خف-اليمنى-قبل-غسل-اليسرى
Imechapishwa: 08/12/2024
https://firqatunnajia.com/kuvaa-soksi-ya-kulia-kabla-ya-kuosha-mguu-wa-kushoto/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)