Swali: Je, inajuzu kuuza chakula ambacho ndani yake kuna nguruwe au chembe za pombe? Ni jambo la kawaida USA kwamba waislamu wanamiliki maduka ambapo wanauza pombe, nyama ya nguruwe na sigara au watu wanafanya kazi kwenye maduka haya.
Jibu: Haijuzu kuuza yale ambayo Allaah ameharamisha kula au kutumia. Miongoni mwa vitu hivyo ni hayo yaliyotajwa katika swali.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (13/48)
- Imechapishwa: 03/10/2020
Swali: Je, inajuzu kuuza chakula ambacho ndani yake kuna nguruwe au chembe za pombe? Ni jambo la kawaida USA kwamba waislamu wanamiliki maduka ambapo wanauza pombe, nyama ya nguruwe na sigara au watu wanafanya kazi kwenye maduka haya.
Jibu: Haijuzu kuuza yale ambayo Allaah ameharamisha kula au kutumia. Miongoni mwa vitu hivyo ni hayo yaliyotajwa katika swali.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (13/48)
Imechapishwa: 03/10/2020
https://firqatunnajia.com/kuuza-viatu-vyenye-chembe-za-pombe-na-nyama-ya-nguruwe/