Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza baada ya adhaana ya kwanza?

Jibu: Hapana vibaya. Uharamu ni kuuza baada ya adhaana ya pili. Kukiadhiniwa baada ya adhaana ya pili imeharamishwa kuuza na inakuwa batili. Adhaana ya pili ni pale ambapo imamu anaingia msikitini kwa ajili ya kutoa Khutbah. Huu ndio wakati wa adhaana ya pili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22602/حكم-البيع-بعد-النداء-الاول-يوم-الجمعة
  • Imechapishwa: 08/07/2023