Swali: Baadhi ya misikiti wanaweka ubao ambao wanatundika juu yake vitu vilivyopotea kama vile funguo, Subha au kalamu ndani ya msikiti?
Jibu: Maoni ya karibu zaidi na usawa ni kwamba ubao uwe nje ya msikiti. Kwa sababu kufanya hivo ni aina fulani ya kutangaza kwa kitendo. Huku ni kutangaza kwa kitendo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/حكم-تعليق-لوحة-المفقودات-في-المساجد
- Imechapishwa: 16/10/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket