Swali: Ni ipi hukumu ya kutundika ngozi ya mbwa mitu ili kumwondosha jini?
Jibu: Naomba kinga kwa Allaah. Hizi ni katika I´tiqaad za Jaahiliyyah. Kuleta mbwamitu kitu katika kiungo chake, yote haya ni katika mambo ya Jaahiliyyah.

https://firqatunnajia.com/kutundika-ngozi-ya-mbwa-mitu-ili-kumwondosha-jini/