Kutundika ngozi ya mbwa mitu ili kumwondosha jini

Swali: Ni ipi hukumu ya kutundika ngozi ya mbwa mitu ili kumwondosha jini?

Jibu: Naomba kinga kwa Allaah. Hizi ni katika I´tiqaad za Jaahiliyyah. Kuleta mbwamitu kitu katika kiungo chake, yote haya ni katika mambo ya Jaahiliyyah.