Swali: Je, inajuzu kula nyama ya tembo?

Jibu: Hapana, tembo ni katika vichafu na nyama yake hailiwi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (79) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13596
  • Imechapishwa: 22/08/2020