Swali: Mimi hudumu kwa kuswali Witr Rak´ah tatu au wakati mwingine Rak´ah moja. Je, kitendo changu hichi ni sahihi?

Jibu: Ndio, uchache wa Witr ni Rak´ah moja, ukamilifu ulio chini ni Rak´ah tatu na ukamilifu ulio juu zaidi ni Rak´ah kumi na moja au kumi na tatu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (78) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_3_1_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020