Kutukana Dini, Mtume Na Maswahabah Wote Ni Ukafiri

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kutukana dini?

Jibu: Kutukana dini ni ukafiri. Kumtukana Mtume ni ukafiri. Kuitukana dini pia ni kumkufuru Allaah. Hali kadhalika kuwatukana Maswahabah wote ni kufuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 86
  • Imechapishwa: 16/12/2016