Kutoka nje ya msikiti wakati wa mawaidha baada ya swalah

Swali: Mtoa mawaidha akisimama na kuwawaidhi watu baada ya swalah na wakatoka baadhi ya maamuma. Je, wanaingia ndani ya Hadiyth isemayo:

“… amempa mgongo Allaah basi Naye Allaah akampa mgongo.”?

Jibu: Kunakhofiwa akaingia miongoni mwa wale waliopuuza Naye Allaah akampuuza. Inatakikana anaposimama mtoa mawaidha wasikilize wahuhuduriaji na wafaidike.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23656/حكم-من-يخرج-اثناء-الموعظة-بعد-الصلاة
  • Imechapishwa: 12/03/2024