Swali: Kuswali juu ya Ka´bah.

Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba inasihi. Lakini bora asifanye hivo ili kutoke nje ya makinzano.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23655/ما-حكم-الصلاة-فوق-الكعبة