Swali: Je, inajuzu kuhama kutoka katika nchi ya kikafiri na kwenda katika nchi ya kikafiri nyingine ilio na usahali kuliko hiyo ya kwanza na siwezi kufanya Hijrah kwenda katika nchi ya Kiislamu?
Jibu: Ndio, hili ni kwa njia ya kufanya uovu mdogo ili kuepuka uovu mkubwa. Maswahabah walihama kutoka Makkah kwa washirikina na wakahajiri kwenda kwa an-Najaashiy ambaye alikuwa ni mnaswara. an-Najaashiy alikuwa ni afueni na hamdhulumu yeyote kwake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, inajuzu kuhama kutoka katika nchi ya kikafiri na kwenda katika nchi ya kikafiri nyingine ilio na usahali kuliko hiyo ya kwanza na siwezi kufanya Hijrah kwenda katika nchi ya Kiislamu?
Jibu: Ndio, hili ni kwa njia ya kufanya uovu mdogo ili kuepuka uovu mkubwa. Maswahabah walihama kutoka Makkah kwa washirikina na wakahajiri kwenda kwa an-Najaashiy ambaye alikuwa ni mnaswara. an-Najaashiy alikuwa ni afueni na hamdhulumu yeyote kwake.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kutoka-nchi-ya-kikafiri-na-kuhajiri-nchi-ya-kikafiri-nyingine/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)