Kutoga masikio na kitovu kwa lengo la kujipamba

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kutoga pua yake au kitovu chake kwa lengo la kujipamba?

Jibu: Kitovu? Ni vipi kitovu kinatogwa? Sifahamu jambo hilo. Hata hivyo hapana vibaya kutoga masikio na pua kwa lengo la kujipamba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 19/05/2023