Kutoa Khutbah moja tu siku ya Ijumaa II

Swali: Inajuzu kufanya swalah ya Ijumaa kwa Khutbah moja?

Jibu: Hapana. Haijuzu. Swalah ya Ijumaa ina Khutbah mbili. Hii ndio Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Khutbah mbili ni lazima. Miongoni mwa masharti ya kusihi kwa swalah ya Ijumaa ni lazima kutolewe Khutbah mbili kabla yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2020