Swali: Je, inajuzu kuhudhuhuria Maulidini na kusoma Qaswiydah kwa hoja ya kwamba ni Qaswiydah zisizokuwa na shirki?

Jibu: Hapana. Sherehe za Maulidi ni Bid´ah. Qaswiydah ni balaa zaidi. Msihudhurie isipokuwa ikiwa kama mtawafunza ya kwamba kitendo hichi hakijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2020