Magomvi kati ya waislamu na Mayahudi inahusiana na nini?

Swali: Ni upi usahihi ya kwamba tofauti kati ya waislamu na mayahudi inahusiana na ardhi na mipaka na sio kwa ajili ya dini na ´Aqiydah?

Jibu: Huyu ni mpotevu na mwenye uchu. Haihusiani na mipaka na ardhi. Inahusiana na dini. Lau wangelikuwa na dini moja basi nchi yao ingelikuwa moja. Nchi ya waislamu ni moja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2020