Kutenga maeneo fulani nyumbani ya kuswalia

Swali: Je, inafaa kutenga maeneo fulani nyumbani kwa ajili ya kuswalia?

Jibu: Hapana vibaya. Akitenga mahali maalum pa kuswalia swalah za Sunnah ni jambo zuri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23612/حكم-تخصيص-مكان-معين-للصلاة-في-البيت
  • Imechapishwa: 29/02/2024