Swali: Je, ni Sunnah kwenda kuswali swalah ya ´iyd kwa kutembea au kwa kupanda?
Jibu: Ni Sunnah kutembea[1]. Lakini kama mtu anahitaji kupanda basi hapana vibaya kupanda.
[1] at-Tirmidhiy (530) aliyesema kuwa ni nzuri. Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (530).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (16/235)
- Imechapishwa: 25/04/2026
Swali: Je, ni Sunnah kwenda kuswali swalah ya ´iyd kwa kutembea au kwa kupanda?
Jibu: Ni Sunnah kutembea[1]. Lakini kama mtu anahitaji kupanda basi hapana vibaya kupanda.
[1] at-Tirmidhiy (530) aliyesema kuwa ni nzuri. Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (530).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (16/235)
Imechapishwa: 25/04/2026
https://firqatunnajia.com/kutembea-au-kupanda-wakati-wa-kwenda-kuswali-iyd/