Swali: Kutawadha kwa kukaa inahesabika ni katika Sunnah? Ikiwa sio katika Sunnah ni bora mtu atawadhe kwa kukaa au kwa kusimama?
Jibu: Atawadhe kwa staili ambayo ni nyepesi kwake, sawa ikiwa ni kwa kukaa, kusimama, kwa kushegama n.k.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kutawadha kwa kukaa inahesabika ni katika Sunnah? Ikiwa sio katika Sunnah ni bora mtu atawadhe kwa kukaa au kwa kusimama?
Jibu: Atawadhe kwa staili ambayo ni nyepesi kwake, sawa ikiwa ni kwa kukaa, kusimama, kwa kushegama n.k.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kutawadha-kwa-kukaa/