Swali: Kutawadha kwa kukaa inahesabika ni katika Sunnah? Ikiwa sio katika Sunnah ni bora mtu atawadhe kwa kukaa au kwa kusimama?

Jibu: Atawadhe kwa staili ambayo ni nyepesi kwake, sawa ikiwa ni kwa kukaa, kusimama, kwa kushegama n.k.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020