Swali: Je, mtu kutokwa na upepo na kulala kunachengua wudhuu´ wake kikamilifu?

Jibu: Ndio. Lakini hatolazimika kutamba. Hakuna kinachomlazimu mtu kutamba isipokuwa anapofanya haja kubwa, ndogo na mfano wa hayo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22345/ما-حكم-الاستنجاء-بعد-النوم-اوخروج-الريح
  • Imechapishwa: 17/02/2023