Swali: Kwa mfano wakati wa kuchinja kondoo mia, je, inatosheleza kutaja Jina la Allaah mara moja au hapana?
Jibu: Taja Jina la Allaah kwa kila kondoo. Ikiwa uko na ala yenye makali ambayo inaweza kukata mara moja mbio mbio [kwa pamoja zote] na ukataja Jina la Allaah mara moja, twataraji hakuna neno – Allaah akitaka.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=6906
- Imechapishwa: 05/05/2015
Swali: Kwa mfano wakati wa kuchinja kondoo mia, je, inatosheleza kutaja Jina la Allaah mara moja au hapana?
Jibu: Taja Jina la Allaah kwa kila kondoo. Ikiwa uko na ala yenye makali ambayo inaweza kukata mara moja mbio mbio [kwa pamoja zote] na ukataja Jina la Allaah mara moja, twataraji hakuna neno – Allaah akitaka.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=6906
Imechapishwa: 05/05/2015
https://firqatunnajia.com/kutaja-jina-la-allaah-wakati-wa-kuchinja-wanyama-wengi/