Kukhitimisha Qur-aan katika Tarawiyh ni wajibu?

Swali: Ni ipi hukumu ya kukhitimisha Qur-aan? Je, ni wajibu ikiwa mtu ataiacha?

Jibu: Imependekezwa kwa baadhi ya wanachuoni na sio wajibu. Ni jambo limefanywa na baadhi ya Maswahabah na wanachuoni. Imependekezwa na sio wajibu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=6906
  • Imechapishwa: 05/05/2015