Kutahadharisha wafu walioacha Bid´ah na wanaotukuzwa na watu

Swali: Baadhi ya watu wa zama hizi wamefariki muda si mrefu sana na wako na Bid´ah kubwakubwa na watu wanawatukuza na kutukuza na kusambaza vitabu vyao.

Jibu: Watahadharishe kwamba ni katika Ahl-ul-Bid´ah. Watahadharishe kama ambavo Allaah aliwatahadharisha watu wa Huud, watu wa Swaalih, watu wa Nuuh, watu wa Shu´ayb na watu wa Luutw kutokana na ubaya wao.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23438/حكم-التحذير-من-بدع-شخص-توفي
  • Imechapishwa: 20/01/2024