Kuswali nyuma ya mtu anayewashirikisha watu wema pamoja na Allaah

Swali: Je, inajuzu kuswali nyuma ya mtu ambaye anajuzisha kuomba du´aa kwa asiyekuwa Allaah na anaweka wakati na kati baina yake na Allaah?

Jibu: Huyu ni mshirikina. Swalah ya mshirikina si sahihi na haisihi akawa imamu mpaka atubu kwa Allaah (´Azza wa Jalla) na amtakasie ´ibaadah Allaah na aache shirki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_08.mp3
  • Imechapishwa: 01/06/2015