Kuswali nyuma ya imamu anayepinga sifa za Allaah

Swali: Khatwiyb wa ijumaa katika mji wetu akiwa ni Asha´ariy ambaye anapinga sifa za Allaah juu ya mimbari. Je, tuache kuswali swalah ya ijumaa ikiwa hakuna msikiti mwingine zaidi ya huo?

Jibu: Tengeni mahala ambapo mnaweza kuwa mnaswali swalah ya ijumaa nyinyi na ndugu zenu. Msiswali nyuma yake.

Check Also

Imamu anaacha sijda ya kisomo

Swali: Imamu anapopita katika Suurah ambayo ndani yake kuna sijda ya swalah hasujudu. Je, kitendo …