Swali: Inajuzu kuswali na nguo ambayo imepatwa na damu ya mnyama aliyechinjwa?
Jibu: Ndio. Damu ya nyama haina neno. Ni safi. Mtu anaweza kuswali na nguo hizo, hazina neno. Zinaoshwa kwa ajili ya usafi peke yake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Inajuzu kuswali na nguo ambayo imepatwa na damu ya mnyama aliyechinjwa?
Jibu: Ndio. Damu ya nyama haina neno. Ni safi. Mtu anaweza kuswali na nguo hizo, hazina neno. Zinaoshwa kwa ajili ya usafi peke yake.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuswali-na-nguo-yenye-damu-ya-nyama/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)