Swali: Je, inajuzu kuswali mahala ambapo mwanzoni kulikuwepo sanamu linaloabudiwa bila ya kujenga msikiti?
Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kwa kuwa kunakhofiwa juu yake kwa mtu akaadhimisha sehemu hiyo na kufufua kumbukumbu ya sehemu hii.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, inajuzu kuswali mahala ambapo mwanzoni kulikuwepo sanamu linaloabudiwa bila ya kujenga msikiti?
Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kwa kuwa kunakhofiwa juu yake kwa mtu akaadhimisha sehemu hiyo na kufufua kumbukumbu ya sehemu hii.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuswali-mahala-ambapo-kulikuwa-kunaabudiwa-asiyekuwa-allaah/