Kuswali mahala ambapo kulikuwa kunaabudiwa asiyekuwa Allaah

Swali: Je, inajuzu kuswali mahala ambapo mwanzoni kulikuwepo sanamu linaloabudiwa bila ya kujenga msikiti?

Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kwa kuwa kunakhofiwa juu yake kwa mtu akaadhimisha sehemu hiyo na kufufua kumbukumbu ya sehemu hii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020