Swali: Je, inajuzu kuswali kwenye msikiti ambapo kumezikwa maiti kutokana na udharurah wa kutokuwepo msikiti mwingine pamoja na kujua kuwa ikiwa sintoswali kwenye msikiti huu basi sintoswali mkusanyiko na Ijumaa?
Jibu: Ni wajibu kuliondosha kaburi la huyo aliyezikwa humo na kulipeleka makaburini na kumzika huko. Haijuzu kuswali ndani ilihali kaburi liko ndani yake. Ni wajibu kwako kutafuta msikiti mwingine uweze kuswali Ijumaa na mkusanyiko kiasi na utakavyoweza.
- Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/267)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Je, inajuzu kuswali kwenye msikiti ambapo kumezikwa maiti kutokana na udharurah wa kutokuwepo msikiti mwingine pamoja na kujua kuwa ikiwa sintoswali kwenye msikiti huu basi sintoswali mkusanyiko na Ijumaa?
Jibu: Ni wajibu kuliondosha kaburi la huyo aliyezikwa humo na kulipeleka makaburini na kumzika huko. Haijuzu kuswali ndani ilihali kaburi liko ndani yake. Ni wajibu kwako kutafuta msikiti mwingine uweze kuswali Ijumaa na mkusanyiko kiasi na utakavyoweza.
Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/267)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuswali-kwenye-msikiti-wenye-kaburi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)