Swali: Vipi kuhusu kuswali maeneo ya ngamia?

Jibu: Haifai kuswali katika maeneo ya ngamia, maeneo ya ngamia haifai kuswali mahali hapo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kuswali katika maeneo ya ngamia, lakini inafaa kuswali katika mazizi ya kondoo na mbuzi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25024/ما-حكم-الصلاة-في-مواطن-الابل
  • Imechapishwa: 25/01/2025