Swali: Je, kukaa usiku Minaa kunamwondokea yule ambaye hakupata nafasi?

Jibu: Kunamdondonkea, kwa sababu si muweza na hana haja ya kutoa fidia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25020/هل-يسقط-المبيت-في-منى-عمن-لم-يجد-مكانا
  • Imechapishwa: 25/01/2025