Sa´y moja inatosha kwa ambaye ni Mutamattu’?

Swali: Yeyote aliyekuwa Mutamattu’ na akapewa fatwa kwamba inatosha kwa ajili yake Sa’y moja?

Jibu: Maoni dhaifu. Maoni haya yamesemwa na baadhi ya wanazuoni, lakini ni maoni dhaifu. Sahihi ni kwamba lazima kuwe na Sa’y ya pili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25018/هل-يجزى-سعي-واحد-لمن-كان-متمتعا
  • Imechapishwa: 25/01/2025