Swali: Je, mtu anaweza kusema kwamba ni sharti kuswali katika mkusanyiko?
Jibu: Hapana, sio sharti. Ni wajibu. Kuswali katika mkusanyiko ni wajibu. Kwa vovyote sio sharti.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23718/هل-الصلاة-في-جماعة-واجبة-ام-شرط
- Imechapishwa: 08/04/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket