Swali: Ni ipi hukumu ya kusujudu pasi na kuswali kwa ajili mtu aombe du´aa tu kwa kuwa ni mahali panapojibiwa?
Jibu: Hili halikuthibiti. Lakini akiswali kisha akaomba, hili ndio limethibiti Swalaat-ul-Haajah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (55) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-11-10.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kusujudu pasi na kuswali kwa ajili mtu aombe du´aa tu kwa kuwa ni mahali panapojibiwa?
Jibu: Hili halikuthibiti. Lakini akiswali kisha akaomba, hili ndio limethibiti Swalaat-ul-Haajah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (55) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-11-10.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kusujudu-kwa-ajili-ya-kuomba-duaa-bila-ya-kuswali/