Kusujudu kwa ajili ya kuomba du´aa bila ya kuswali

Swali: Ni ipi hukumu ya kusujudu pasi na kuswali kwa ajili mtu aombe du´aa tu kwa kuwa ni mahali panapojibiwa?

Jibu: Hili halikuthibiti. Lakini akiswali kisha akaomba, hili ndio limethibiti Swalaat-ul-Haajah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (55) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-11-10.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020