Swali: Je, inajuzu kuswali au kugusa msahafu ikiwa nina manii kwenye nguo yangu?

Jibu: Ndio. Manii ni twahara kwani ndio asli ya mwanaadamu…

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4740
  • Imechapishwa: 17/11/2014