Swali: Je, inajuzu kwa aliyefanya Tayammum kutokana na janaba kugusa na kusoma ndani ya msahafu?

Jibu: Ndio. Ikiwa hana maji au yuko na maji lakini haiwezekani kuyatumia, Tayammum inachukua nafasi ya maji. Hivyo aiguse msahafu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (81) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_14_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020