Swali: Je, inajuzu kutumia neno ´mwenye kufanya kitendo cha jinai` (مُجرم) kumpachika nalo mtu wa Bid´ah ambaye anadhihirisha Bid´ah zake?

Jibu: Hakuna jina la fedheha zaidi kama kusema “mtu wa Bid´ah”. Neno mujrim ni khafifu kuliko neno mtu wa Bid´ah. Lakini litumie ikithibiti kweli kama ni mtu wa Bid´ah. Sio kila chenye kudhaniwa kuwa ni Bid´ah inakuwa Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (81) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_14_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020