Swali: Ni ipi hukumu ya kutoa adhaana na kukimu na huku mtu amekaa?

Jibu: Imechukizwa ikiwa ni pasi na haja. Ama ikiwa anahitajia hilo, inajuzu. Inajuzu kuadhini na kukimu na yeye amekaa ikiwa kusimama kunamtia uzito.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (81) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_14_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020