Swali: Huku kwetu kumeenea kiongozi kukemewa hadharani na hilo limepelekea katika kupatikana manufaa mengi. Je, kitendo kama hichi kinajuzu?

Jibu: Kule kupatikana manufaa vilevile kunapatikana madhara. Madhara ni yenye nguvu kuliko manufaa. Kumwagika kwa damu, kukosekana amani, kufarikiana na tofauti na madhara mengine mengi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020