Inajuzu kurekodi darsa anazotoa al-Fawzaan live kwenye TV?

Swali: Je, inajuzu kurekodi mawaidha na durusi zinazotolewa moja kwa moja [live] na kuzihifadhi kisha mtu akazipitia wakati mwingine au jambo hili linaingia katika picha zilizoharamishwa?

Jibu: Kurekodi sio picha. Rekodi sauti katika kanda na baada ya hapo uieneze kwa watu. Hili ni jambo zuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020