Swali: Ni ipi hukumu ya kumtembelea kafiri mgonjwa? Kufanya hivo kunaingia katika kumpenda?

Jibu: Inajuzu kumtembelea ili kumlingania katika Uislamu kama Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivomtembelea Abu Twaalib na kumlingania katika Uislamu. Vilevile alimtembelea myahudi na akamlingania katika Uislamu na akasilimu. Ikiwa ni kwa ajili ya kumlingania katika Uislamu, hili ni jambo zuri na limewekwa katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020