Kusoma na msahafu au bila msahafu?

Swali: Ni ipi bora zaidi; kusoma Qur-aan kwenye msahafu au kusoma bila ya msahafu?

Jibu: Bora zaidi ni ile njia ambayo ina manufaa zaidi kwako na kuufanya moyo wako kuwa na khofu zaidi.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/20)
  • Imechapishwa: 22/08/2020