Swali: Ni ipi bora zaidi; kusoma Qur-aan kwenye msahafu au kusoma bila ya msahafu?
Jibu: Bora zaidi ni ile njia ambayo ina manufaa zaidi kwako na kuufanya moyo wako kuwa na khofu zaidi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/20)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Ni ipi bora zaidi; kusoma Qur-aan kwenye msahafu au kusoma bila ya msahafu?
Jibu: Bora zaidi ni ile njia ambayo ina manufaa zaidi kwako na kuufanya moyo wako kuwa na khofu zaidi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/20)
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/kusoma-na-msahafu-au-bila-msahafu/