Swali: Ni kipi bora zaidi kusoma Qur-aan kwa wingi au kuihifadhi?
Jibu: Yote mawili ni mazuri. Kusanya kati ya yote mawili. Hifadhi na usome. Tenga wakati kwa ajili ya kusoma na tenga wakati kwa ajili ya kuhifadhi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18388
- Imechapishwa: 02/04/2021
Swali: Ni kipi bora zaidi kusoma Qur-aan kwa wingi au kuihifadhi?
Jibu: Yote mawili ni mazuri. Kusanya kati ya yote mawili. Hifadhi na usome. Tenga wakati kwa ajili ya kusoma na tenga wakati kwa ajili ya kuhifadhi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18388
Imechapishwa: 02/04/2021
https://firqatunnajia.com/kusoma-kwa-wingi-au-kuhifadhi/