Swali: Je, inafaa kula katika chakula kilichopikwa kwa ajili ya wenye kufunga ilihali mtu hakufunga?

Jibu: Hapana. Chakula hichi ni kwa wenye kufunga. Haijuzu. Isipokuwa kama mwenye chakula chake anatoa ruhusa basi katika hali hiyo hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18391
  • Imechapishwa: 02/04/2021