Swali: Ni kipi bora zaidi kusoma Qur-aan kwa wingi au kuihifadhi?

Jibu: Yote mawili ni mazuri. Kusanya kati ya yote mawili. Hifadhi na usome. Tenga wakati kwa ajili ya kusoma na tenga wakati kwa ajili ya kuhifadhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18388
  • Imechapishwa: 02/04/2021