Swali: Ni ipi hukumu ya kusimama kuswali usiku wa kuamkia ijumaa kutokana na ile nafasi yake kubwa? Ni yepi yaliyopokelewa juu ya hilo?
Jibu: Hakukusihi kitu kuhusu kuufanya maalum usiku wa kuamkia ijumaa mtu akasimama na akatofautisha na nyusiku zengine. Hakuna dalili iliyosihi juu ya hilo. Kwa hivyo hili halijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=bwmUwIOw7GA
- Imechapishwa: 18/12/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kusimama kuswali usiku wa kuamkia ijumaa kutokana na ile nafasi yake kubwa? Ni yepi yaliyopokelewa juu ya hilo?
Jibu: Hakukusihi kitu kuhusu kuufanya maalum usiku wa kuamkia ijumaa mtu akasimama na akatofautisha na nyusiku zengine. Hakuna dalili iliyosihi juu ya hilo. Kwa hivyo hili halijuzu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=bwmUwIOw7GA
Imechapishwa: 18/12/2018
https://firqatunnajia.com/kusimama-usiku-kuswali-usiku-wa-kuamkia-ijumaa/