Kusimama kuswali usiku wa kuamkia ijumaa

Swali: Ni ipi hukumu ya kusimama kuswali usiku wa kuamkia ijumaa kutokana na ile nafasi yake kubwa? Ni yepi yaliyopokelewa juu ya hilo?

Jibu: Hakukusihi kitu kuhusu kuufanya maalum usiku wa kuamkia ijumaa mtu akasimama na akatofautisha na nyusiku zengine. Hakuna dalili iliyosihi juu ya hilo. Kwa hivyo hili halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=bwmUwIOw7GA
  • Imechapishwa: 18/12/2018